Tuesday, August 26, 2008

CHEKI MAPICHA HAYO!!


Huyu ni Pharell William,Producer na mwanamuziki........
Ni kati ya wanamuziki matajiri sana huko Marekani......
Nyimbo kama Frontin,Excuse me miss, Na nyingine nyingi maarufu ni kati ya ambazo ushawahi kumuona na ndizo zilimtangaza sana kwani frontin nyimbo yake ilitamba sana kwenye billboards chat.
Ni hayo tu!!

No comments: