Hallow wanafunzi wa vyuo vyote Tanzania;Nikimaanisha UDSM,IFM,MZUMBE,TUMAINI,SUA,SAUT,ST JOSEPH,T.I.A,A.I.A.A na wote nawakaribisha sana kwenye blogu yangu ili tushee mawazo mbalimbali on what is going on katika kampasi zetu,nchini,burudani,michezo na lifestyles.
searching for marafiki and penpals na vitu vinginevyo.karibuni sana na mnitumie email zenu na picha mbalimbali kuja kwenye blogu hii ili wenzetu waone na tushee mawazo.
Mimi naitwa William Jackson Nyakua niko UDSM
Karibuni nasubiri email zenu na picha zenu na tushee stori mbalimbali za maisha.
Tuesday, May 27, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

1 comment:
poa tunakaribia mkubwa.
Post a Comment