Tuesday, May 27, 2008

WALE WATU WA BONGO FLAVA NA HIPHOP

Hivi hip hop na bongo flava ipi inabamba!!!
halafu kw watu wangu wa hip hop kati ya chidbenz na joh makini nani ni mkali.halafu nimesikia joh makini katoa tishirt zake zenye chata la joh makini kuweni tayari kupata.
je wasanii gani wanabamba kwa saivi kwa mawazo yako?

No comments: