Jamani mi nawauliza kitu.hivi mnakichukuliaje kifo cha Daudi balali?
Kuna mkono wa mtu au vipi?Hebu nitmieni mawazo na mimi nitayadisplay kwenye hii blogu yangu na mtoe full story wale mnoijua.Je ni kweli alikua na siri kubwa serikalini?mnakubaliana na kuzikwa kwake marekani?
Tuesday, May 27, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment